Kituo kipya cha treni mjini Jerusalem kupewa jina la Donald Trump
Waziri wa uchukuzi nchini Israel
anataka kuchimbwa reli ya chini kwa chini kwenye mji wa zamani wa
Jerusalem karibu na Ukuta wa Magharibi na kupewa jina la Donald Trump.
Yisrael Katz alisema kuwa anataka kumpa hushima rais huyo wa Marekani kufuatia uamuzi wake wa kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.
Ukuta wa Magharibi ndilo eneo takakatifu zaidi ambapo wayahudi wanaruhusiwa kuomba.
Ujenzi wa awali eneo lililo karibu na Ukuta wa Magharibi ambalo hujulikana kwa waislamu kama Haram al-Sharif na kwa wayahudi kama Temple Mount imezua maandamano kutoka kwa wapalestina.

- Trump awatishia watakaounga mkono maazimio ya UN juu ya mji wa Jerusalem

No comments